FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

DRC wa kawaida sana mbele ya Taifa Stars, yaani hata wao wameshindwa kushangilia, sbb wanajua kabisa hii mechi ni kama draw tu, sasa tunawasubiria kwa Mkapa Stadium tar 15 Oct..!! Hawa wakongo kwa Mkapa hawatoki hata kidogo.
Sawa mkuu
 
Hata kama STARS wakifungwa leo...cjaumia coz tumepishana vizuri na DRC...
GOOD DEFENDING, midfield...
Makosa ya goal siwezi kuwavunja moyo...
Bado tuna mambo ya mmetufunga lakini chenga twawala. Hii timu kufunga magoli hatuwezi kabisa siku hizi. Nadhani tufungue academy moja ya washambuliaji tu tuzalishe kizazi kipya cha washambuliaji.
 
Sawa mkuu


Walishalegea sana tena ni kwao, wamepgopa sana Taifa Stars, umeona jinsi Wakongo hawashangilii wanatoa mimacho kwa uoga, wakija kwa Mkapa tunapiga na kuwapoteza..!! Tunapiga miguu wataacha kwa Mkapa…. Aaaaarrrghhhrrrrr🤬🤬😡😡👺👺👹👹
 
Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku

Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo


Updates.....

Kipindi cha kwanza cha mchezo kimeanza

Dakika, 9 Mpira upo kasi sana na bado milango ni migumu kwa pande zote mbili

Dakika, 17 Ngoma bado ngumu si Mwenyeji DRC wala si Tanzania

Dakika, 30 Si Stars wa DRC ambaye amepata goli mchezo upo on fire

Dakika 45 za kipindi cha kwanza kimetamatika DRC 0-0

Kipindi cha pili kimeanza

Dakika, 53 Gooooli DRC wanapata goli la kuongoza

Dakika, 58 Taifa Stars wanafanya mabadiliko anatoka Kibu anaingia Saduni

Dakika, 70 Taifa Stars wanatengeneza nafasi na kumiliki mpira

Dakika, 81 DRC wanashambulia sana dakika hizi
Msiwe mnaleta kina Samata Wana mikosi na ni liability kwenye Timu,huyo atimuliwe kabisa
 
Walishalegea sana tena ni kwao, wamepgopa sana Taifa Stars, umeona jinsi Wakongo hawashangilii wanatoa mimacho kwa uoga, wakija kwa Mkapa tunapiga na kuwapoteza hadi watasema hii ni Taifa Stars au Israel inapiga Lebanon..!! Tunapiga miguu wataacha kwa Mkapa…. Aaaaarrrghhhrrrrr🤬🤬😡😡👺👺👹👹
Kuwa na akiba ya maneno, timu yako yenyewe haiwezi kufunga goli zaidi ya 1. Yaani njemba zinajiita kabisa washambuliaji tena mapro zinakimbiakimbia tu kwa lisaa na nusu zinatoka kapa
 
Walishalegea sana tena ni kwao, wamepgopa sana Taifa Stars, umeona jinsi Wakongo hawashangilii wanatoa mimacho kwa uoga, wakija kwa Mkapa tunapiga na kuwapoteza hadi watasema hii ni Taifa Stars au Israel inapiga Lebanon..!! Tunapiga miguu wataacha kwa Mkapa…. Aaaaarrrghhhrrrrr🤬🤬😡😡👺👺👹👹
Inshallah iwe kheri
 
Nilitaka kushangaa yaani mpira uishe MZIZE hajapiga bao.
FB_IMG_17285845101382073.jpeg
 
Back
Top Bottom