chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Hana sub nzuri ama hana wachezaji wazuri nje?!Kocha hana sub nzuri
Kweli tumepiga hatua, ila wachezaji wazuri wanaoweza kucheza na kufuata maelekezo ya mwalimu hatuna kabisa.
Ligi yetu inabebwa na wachezaji wa kigenj.