FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku

Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo


Updates.....

Kipindi cha kwanza cha mchezo kimeanza

Dakika, 9 Mpira upo kasi sana na bado milango ni migumu kwa pande zote mbili

Dakika, 17 Ngoma bado ngumu si Mwenyeji DRC wala si Tanzania

Dakika, 30 Si Stars wa DRC ambaye amepata goli mchezo upo on fire

Dakika 45 za kipindi cha kwanza kimetamatika DRC 0-0

Kipindi cha pili kimeanza

Dakika, 53 Gooooli DRC wanapata goli la kuongoza

Dakika, 58 Taifa Stars wanafanya mabadiliko anatoka Kibu anaingia Saduni

Dakika, 70 Taifa Stars wanatengeneza nafasi na kumiliki mpira

Dakika, 81 DRC wanashambulia sana dakika hizi
Mungu amejibu maombi ya wengi, huu ushindi ni wa penda uzalendo wote.
 
oya! tusisumbuane,timu ikishinda mnajitokeza na mapambio yenu,ikifungwa mnatuachia walala hoi tuwaeleweje sasa wandugu? haiwezekani kabisa mjitokeze tu kwenye sherehe tu,kwenye msiba mnatuachia wafiwa,shenzi type!
 
Back
Top Bottom