FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

Ila Kuzaliwa Nchi nyingine wakati mwingine sio fair Hiv Max ni wakukosa namba timu ya Congo? Yao Kwasi na Pacome ni wakukosa namba Ivory Cost? nina wakika wangekuwa watanzania wasingekosa first eleven yetu.
Haya yote magarasa tu. Ndio maana wapo Yanga.Wengekuwa na uwezo wangekuwa Timu za Kaskani mwa Africa. Mfano Mayele
 
Ngoja usikie malalamiko sasa!
Ooo refa alitunyima penat! Ooo Wachezaji tulinyimwa posho!
Tutaendelea kuwa wasindikizaji labda CCM ikitoka madarakani.
 
Mzize amejua kuliheshimisha taifa. Hongera sana Mzize na tunamshukuru sana mama
 
Kama vile jina taifa stars lilivyotuganda,ndivyo tulivyomganda samanta,
na hicho ndicho kinachotughalimu katika tasnia hii ya mpira.
 
Ukiwasikiliza wachambuzi wa soka wa kibongo unaweza kudhani Tanzania ina timu kiwango cha dunia 😂

Anyway, nmefurahia matokeo
 
Ifike pahala team yetu iachane na baadhi ya wachezaji sasa jamani. Sioni tena thamani ya huyu mnayemuita champion boy, bora akapumzika kwa heshima tu awaachie wengine
 
Ila Kuzaliwa Nchi nyingine wakati mwingine sio fair Hiv Max ni wakukosa namba timu ya Congo? Yao Kwasi na Pacome ni wakukosa namba Ivory Cost? nina wakika wangekuwa watanzania wasingekosa first eleven yetu.
Na huu usimba na uyanga huu ndio unaoipa nchi aibu wenzetu nchi zao zina angalia taifa kwanza wameset priorities na siyo ushabiki ukiona hivyo ni kuwa kuna waliobora zaidi yao km unavyojua DR congo ivory cost ni nchi zenye mpira na vipaji vingi kulinganisha na bongo huo usimba uyanga umeigharim nchi mtu uwezo mdogo hata club yake inajua ndio maana huwa anaanzia sub leo anachezeshwa vipindi viwili lazima awape mlicho stahili
 
Comments za wabongo mkishindwa kitu huwa mnachekesha sana.
 
Hamna haja ya kumsema Mzize pale yoyote anaweza kukosea...kikubwa hatujafungwa nyingi....
Na kikubwa tusingefungwa kabisa leo...
Mzize alimpa mpira adake yeye kwa mbwembwe ndio anausogeza zaidi golini. kipa bongo hatuna.
 
yap, tukiwapiga wao watakuwa na point 9 sisi 7. so wat?
 
Angekuwa mchezaji WA Simba ndio kafanya ya ' Mzize' leo zingeanzishwa nyuzi zaidi ya 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…