FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

Huyu Mzize kama ana akili timamu hili swala litamuharibu kisaikolojia na tarehe 19 anapaswa kucheza kinyonge

Kinyume na hapo hana akili.
Mpira umempita kipa Mzinze ukamshtukiza na kumgonga ndiyo ukaingia, sasa hapo imuathili vipi kisaikolijia?
 
Sijawahi kuona mchango wa Samatta kwenye kikosi cha Taifa stars kwa miaka ya hvi karibuni. Timu huwa inacheza angalau vizuri kama Samatta hayupo kikosini kuliko akiwepo. Bora hata Msuva huwa anafurukuta.
Jamaa aage kuachana na timu ya Taifa ili tuachane naye kwa heshima, hivi hivi atapigwa chini kama gunia la mahindi, jomba na chawa zake zije kulialia mitandaoni.

Angalizo, sitazami mechi ya leo ila najua tu kinachoendelea huko
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
FB_IMG_17285814515410127.jpeg
 
Back
Top Bottom