Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndiyo mchezo wa morocco siku zote,kupaki,pasi za pembeni na nyumaMzee unataka achezaje na congo
Kila siku kupaki pasi za pembeni na nyuma,hana jipya moroccoTeam inacheza vizuri sana na kwa malengo kwa Hawa DRC tukipata draw zote mbili itakuwa poa kabisa Kisha tuwakande Ethiopia na guinea
Hiyo ni Kongo yuko ugenini unataka ashambulie vipi!?Kila siku kupaki pasi za pembeni na nyuma,hana jipya morocco
Hujui mpirqKibu na Mzize ni kama hawajielewi
Timu ilikua na mpira mzuri na hamasa kipindi cha kocha mbrazili pekee from there hakuna kituNilifikiri nateseka mwenyewe 🤣🤣🤣
Mechi gani tulishambulia?.. ethiopia tulikua hatueleweki tunacheza niniHiyo ni Kongo yuko ugenini unataka ashambulie vipi!?
Team imejilinda na imetengeneza chances za kufunga
Yani kocha na wachezaji wanastahili pongezi kubwa sana
Kwaniki unaenda kupambana na unawaza point moja kwanini tusiwaze points zote tatu.Tunacheza vizuri kwa malengo. Naamini tutaambulia hata point moja
Mpira mzuri ulikuwepo kipindi cha polsen pia 2013-14Timu ilikua na mpira mzuri na hamasa kipindi cha kocha mbrazili pekee from there hakuna kitu
Sijui wamekula mrenda wa wapi huu..?Kibu na Mzize ni kama hawajielewi
Mukubwa upo gudi upo biyeeeDozee dozee papaa mukuruu
Hii mechi ni sareTaifa stars wanacheza utadhani ni wazee hawana uchangamfu na maamuzi ya haraka! KOBE PLAYING STYLE!