FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku.

Updates.....

Kipindi cha kwanza cha mchezo kimeanza

Dakika, 9 Mpira upo kasi sana na bado milango ni migumu kwa pande zote mbili

Dakika, 17 Ngoma bado ngumu si Mwenyeji DRC wala si Tanzania
View attachment 3120450Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
View attachment 3121211

Updates.....

Kipindi cha kwanza cha mchezo kimeanza

Dakika, 9 Mpira upo kasi sana na bado milango ni migumu kwa pande zote mbili

Dakika, 17 Ngoma bado ngumu si Mwenyeji DRC wala si Tanzania

Dakika, 30 Si Stars wa DRC ambaye amepata goli mchezo upo on fire
Leo tunaua mtu 🇹🇿
 
Hii mechi nilikuwa nina hamu ya kuangalia ila nimeshindwa kuendelea kuangalia, hii mechi ukikomaa kuangalia hadi iishe lazima umeze panadol sio kwa quality hii.
Nilifikiri nateseka mwenyewe 🤣🤣🤣
 
Huyu kocha wa Taifa stars afungiwe jiwe shingoni atupwe baharini katikati. Anakula tu pesa zetu. Timu haijulikani hata inacheza nini, morale ya wachezaji ipo chini n.k
Mzee unataka achezaje na congo
 
Back
Top Bottom