FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

Hii mechi nilikuwa nina hamu ya kuangalia ila nimeshindwa kuendelea kuangalia, hii mechi ukikomaa kuangalia hadi iishe lazima umeze panadol sio kwa quality hii.
Kwani TV yako siyo 4K au 8K HD?
 
Taifa stars wanacheza utadhani ni wazee hawana uchangamfu na maamuzi ya haraka! KOBE PLAYING STYLE!
 
Back
Top Bottom