FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

Ila Kuzaliwa Nchi nyingine wakati mwingine sio fair Hiv Max ni wakukosa namba timu ya Congo? Yao Kwasi na Pacome ni wakukosa namba Ivory Cost? nina wakika wangekuwa watanzania wasingekosa first eleven yetu.
Kukosa sio namba kwenye mataifa hayo sio la kushangaza, wachezaji wazuri wapo wengi huko.
 
africa stream ikitoka channel nyingine ni kasheshe
 
Back
Top Bottom