FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

Ila Kuzaliwa Nchi nyingine wakati mwingine sio fair Hiv Max ni wakukosa namba timu ya Congo? Yao Kwasi na Pacome ni wakukosa namba Ivory Cost? nina wakika wangekuwa watanzania wasingekosa first eleven yetu.
hao level yao ni kucheza yanga tu mahali ambapo vyura wanawaabudu
 
Ila Kuzaliwa Nchi nyingine wakati mwingine sio fair Hiv Max ni wakukosa namba timu ya Congo? Yao Kwasi na Pacome ni wakukosa namba Ivory Cost? nina wakika wangekuwa watanzania wasingekosa first eleven yetu.
Huko kwao walianza muda kujituma kwenye mpira
 
Back
Top Bottom