Lamborgini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 954
- 1,617
Karata yangu kwa messi leo
NeverIt's coming hooome...it's coming hooome! Come on England!
Yeyote ashinde kombe kasoro Argentina
It's coming hooome...it's coming hooome! Come on England!
Ngoja tuone,fifa ina vipenzi vyake 😄
England leo labda akicheza wafie uwanjani
Ova
Argentina wameyakanyaga
Messiah 🔥🔥🔥Go Messi nipigie hao wakoloni
Akitangulia tu sahau kuhusu kurudishaTucheni kwa hizi mechi za mtoano ni fundi sana wa kusoma mchezo, 2012 alibeba uefa na Chelsea ya patu patu.
Tuko pamoja. Nipo safarini, lakini natarajia kupata taarifa hapaMoja ya dabi kubwa zaidi katika historia ya Kombe la Dunia itaandika sura mpya jijini Atlanta, ambapo England na Argentina zitakutana kwa mara ya sita katika mashindano haya huku nafasi ya kutinga fainali ikiwa hatarini.
England hawajaonyesha kiwango cha kuvutia sana katika Kombe hili la Dunia, lakini wameonyesha moyo mkubwa wa kupambana kwenye hatua za mtoano. Katika robo fainali, walitoka nyuma na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Norway baada ya muda wa nyongeza.
Kwa upande mwingine, mabingwa watetezi Argentina wameendelea kuwa na rekodi ya kuvutia baada ya kushinda michezo yote sita waliyocheza kwenye Kombe hili la Dunia, pamoja na kushinda mechi zao 12 zilizopita mfululizo katika hatua za fainali za mashindano hayo.
Hata hivyo, wamelazimika kupambana kwa nguvu ili kuvuka hatua za mtoano.
Historia ya Mikutano (Head-to-Head)
England wamepoteza mechi tatu pekee kati ya 14 walizocheza dhidi ya Argentina (ushindi 6, sare 5). Hata hivyo, vipigo viwili vya mwisho walivyopata dhidi ya Argentina vilitokea kwenye Kombe la Dunia mwaka 1986 na 1998, mechi ambazo zilibaki kuwa sehemu ya historia ya mashindano hayo.
Tangu wakati huo, The Three Lions hawajapoteza katika mikutano yao mitatu iliyofuata dhidi ya Argentina, wakishinda miwili na kutoka sare mmoja, huku wakishinda mechi mbili za mwisho walizokutana.
Matusi ya nini sasa?
Kumbe ndio lugha uliyozoea.
Ni mwendo wa kuchoma vichaka vya wakimbiziKumbe ndio lugha uliyozoea.
Ukiacha ushabiki, Hamna timu humuu, na huu ndio mwisho wao. Labda messi tuu
Subiri uone kazi za wahuni akina SimeoneUkiacha ushabiki, Hamna timu humuu, na huu ndio mwisho wao. Labda messi tuu
Kwa wengine hayo ndio mafundisho hata kiimani hivyo usishangae kabisa.Matusi ya nini sasa?