Usimalize maneno nduguajentina ni makuma tu siku zote ...🚮🚮🚮🚮🚮
DK ya 70 unapaki basi ushambuliwe ushinde moja halafu timu inayokushambulia ina Messi. Unategemea nini?England wamezidiwa kabisa dakika hizi za mwisho.
Wale jamaa watakuelewa sasa?Tukubali tu Messi ni mpira na mpira ni Messi
Utaambiwa FIFA wanaipendelea Argentina.Hayo magoli 2 nayo mseme ni FIFA imefunga kwa niaba ya Argentina. Kuna watu akili zero.
Wapuuzi sana wanaleta chuki zao kwenye ukweli.Wale jamaa watakuelewa sasa?
Hawana akili halafu unakuta ni majitu mazima mengine yanajiita machambuziUtaambiwa FIFA wanaipendelea Argentina.
Wengine watakwambia Argentina anapangiwa vibonde.
Hichi kichaka kimefyekwa leo aisee.Utaambiwa FIFA wanaipendelea Argentina.
Wengine watakwambia Argentina anapangiwa vibonde.