FT: England 1-2 Argentina | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 15 Julai, 2026 | Nusu Fainali

FT: England 1-2 Argentina | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 15 Julai, 2026 | Nusu Fainali

Wamezingua sana England, wangeweza fika matuta hii gemu. Wote wamerudi nyuma, kocha ametoa mshambuliaji kaingiza beki. 😊
Wasingeweza kufika matuta.. baada ya mabadiliko yale nikajua tu kama watapona kwenye 90 basi zile 30 wanaondoshwa kabisa. Kocha wao aliiua team..

Na hii game kocha ndio kaiharibu
 
coaches kubadili plans inayofanya kazi games za msingi kuweka players wao kunaharibu games siku zote. they never learn. leo rogers kaanza wakati games zote huwa anaingia. Jana France Tchou Kaanza Kone Kaanza Bench Wakati Alikua Poa Games Zote
 
Back
Top Bottom