hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Shikamoo kaka 🤣Tucheni kwa hizi mechi za mtoano ni fundi sana wa kusoma mchezo, 2012 alibeba uefa na Chelsea ya patu patu.
Shikamoo kaka 🤣Tucheni kwa hizi mechi za mtoano ni fundi sana wa kusoma mchezo, 2012 alibeba uefa na Chelsea ya patu patu.
Amka kaka usije ukajikojolea maana hiyo njozi unayoiota imeshakufa 🤣England to the final.
🤩🤩England anapigwa, fainali ni Argentina vs Spain
🤩🤣🤣🤣Mashabiki wa Ufaransa tuna wakati mgumu sana. Na England nayo ikitolewa leo ndiyo basi tena.
Hahahaha acha mkuuShikamoo kaka 🤣
Hahaha watu wamepigwa kama ngoma na mpira wamefundishwa 🤣🤣😁Wakibebwa utapigwa mdomo miaka 50 ijayo England sio mchezo
😁😁😁 Kila team mtashabikia mwaka huuHahahaha acha mkuu
Ureno anahusika vipi hapo bwashee 🤣Hahaha watu wamepigwa kama ngoma na mpira wamefundishwa 🤣🤣😁
Argentina sio ureno
Nimekubali yaishe basi😆😁😁😁 Kila team mtashabikia mwaka huu
.yule ndiye Messi 😁🙌
💪💪💪Enzo Fernandez, kwake Mac Arista, Mac Arista kwake Messi..Messii..Messiiiiiiiiiiiiii..........Wwya waya wayaaa..Waya wa Umeme Wayaaaaaaa
😁😁😁 Ni kama Venezuela Kwa USAUreno anahusika vipi hapo bwashee 🤣
Nyokooo 😁It's coming hooome...it's coming hooome! Come on England!
Basi sawa mkuu😁😁😁 Ni kama Venezuela Kwa USA
😁😁
Au sio !!? 😁😁Ukiacha ushabiki, Hamna timu humuu, na huu ndio mwisho wao. Labda messi tuu
Na ndio muda huo huo waliokufaEngland wataweza kuzuia hadi mwisho? Argentina ni hatari sana kuanzia dakika ya 80
😁💪💪Chuma ya 2 uko.
💯💯📌🥰🥰🎯Tukubali tu Messi ni mpira na mpira ni Messi
Nyokooo 😁Messi ni kiumbe kingine. Nimekubali ndiye GOAT
😁😁😁Naona Team Ronaldo tuhamie Spain sasa...viva España🇪🇸🤣