Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Fuatilia repliessasa CR7 anahusika vipi hapa?
Fuatilia repliessasa CR7 anahusika vipi hapa?
Je asipofunga? Unaongea kirahisi tuKila mtu ana mechi moja mbele; wote wana goli 8. Kila huyu ana advantage hapo. Messi akitupia final anachukua; Mbappe na yeye vile vile.
UmejuajeArgentina bingwa tena
Mnamkuza mnoYeah ndio uwezo wa Messi unapokuja hapo lazima akuadhibu
Mnamkuza mno
Jisemee mwenyewe watu wote hao walikuambia wapiNani amefananisha, acha kuzua taharuki, watu wote wameungana kumkubali Messi.
Kila mmoja ana sifa zake za kipekee ambazo kila yeye huwezi kumringanisha na mwenzieWajinga sana wanasahau kuwa
2022: Lionel Messi alihusika moja kwa moja kwenye mabao 10 wakati akiiongoza Argentina kutwaa Kombe la Dunia.
2026: Lionel Messi amehusika moja kwa moja kwenye mabao 12 akiwa anaiongoza Argentina kufika fainali ya Kombe la Dunia.
Akiwa karibu kutimiza miaka 40, bado Messi anakiwasha
Kumtetea Ronaldo ni kazi ngumu sana
Munamsifia kupitiliza hata mwenyewe huwa anashangaa kupewa sifa za kupitilizaYaani nilijua watafungwa tu. Unalinda vipi timu iko na Messi.
Huo ndio ukweliKila mmoja ana sifa zake za kipekee ambazo kila yeye huwezi kumringanisha na mwenzie
Taja sifa za Ronaldo kwenye WCKila mmoja ana sifa zake za kipekee ambazo kila yeye huwezi kumringanisha na mwenzie
Munamsifia kupitiliza hata mwenyewe huwa anashangaa kupewa sifa za kupitiliza
Unajua mess ana goal ngapi + assist?
Kwanini mkuu?Yule tuchel hawezi kuwa na akili timamu..
Shame on you 😄😄😄England anashinda 2—1
Mark this