FT: England 1-2 Argentina | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 15 Julai, 2026 | Nusu Fainali

FT: England 1-2 Argentina | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 15 Julai, 2026 | Nusu Fainali

unapopaki basi maana yake unampa mwenzio nafasi ya kukushambulia wewe tu, ni ngumu kutoboa
Kweli aisee, ukiangalia hapa ni timu nzima imepaki
Screenshot_20260716-132942.jpg
 
Kweli aisee, ukiangalia hapa ni timu nzima imepakiView attachment 3630442
Kocha alifeli sana, nilipokuwa natizama mpira wakati sub zinafanyika nikasema huyu kocha chizi anajiponza, atafungwa, argentina hii sio ya kuipakia basi, akanikejeli kati yangu na tuchel nani anajua zaidi?
Nikamjibu, siongei na watu wasiojua mpira.. punde si punde mambo yakabalika... akawa anajichekesha kama mwanamke wa bar
 
Back
Top Bottom