GOAT v/s YamalArgentina afadhali wangetoka leo maanake jumapili watadhalilishwa.
Narrative imebadilika sasa kutoka anapangiwa vibonde mpaka atadhalilishwa na Spain.Argentina afadhali wangetoka leo maanake jumapili watadhalilishwa.
Kufanya nini?England lazima aende final
Jana nilisema yeyote atakaecheza na Spain jumapili atachakazwa. Hayo ya vibonde ndio nasikia kwako.Narrative imebadilika sasa kutoka anapangiwa vibonde mpaka atadhalilishwa na Spain.
Huyu Tuchel nae kumbe kama makocha wa kiingereza tu,wakipata goli moja wanaacha kucheza wanarudi kupaki bus.England waliporidhika na goli na kuanza kupaki basi, wakaja kuzinduka washawekwa chuma mbili. Pale ndiyo walipoboronga
Jana nilisema yeyote atakaecheza na Spain jumapili atachakazwa. Hayo ya vibonde ndio nasikia kwako.
Yaani nilijua watafungwa tu. Unalinda vipi timu iko na Messi.Unaongoza goli moja; unawaambia wachezaji wote warudi nyuma mbele ya Argentina! Huyu Tuchel kachemka aisee! Angeendelee kushambulia sio kupaki basi. 😊
Tena kimefyekwa kibabe.. yaani alipewa na mswaki kabisa halafu wakamng'oa menoHichi kichaka kimefyekwa leo aisee.
Yaani sijui kwanini usiendelee kucheza kama ulivyokuwa unacheza.Yaani nilivyoona tu dakika ya 50 Kocha anaanza kupaki basi nikajua Tu muda sio mrefu watafungwa, yaani Kipindi unaongoza goli moja ni Kipindi hatari Sana kuliko ukiwa bila bila, Timu za Pep Guardiola zilikuwa hatari kwasababu anapokufunga moja hakubali kabisa kukaa nyuma, yeye ndio Kwanza anataka kumiliki mchezo, hichi kitu Nimekiona tena Jana kwa Spain....
Japo Spain ina wachezaji wengi wa chama langu Barca ila watupishe kwanza.Hii Argentina ina vipaji lakini haina timu; inaweza kugongwa na Spain, kwa hali hii. 😊
Yaani nilijua watafungwa tu. Unalinda vipi timu iko na Messi.
Watadhalilishwa.Hii Argentina ina vipaji lakini haina timu; inaweza kugongwa na Spain, kwa hali hii. 😊
Unateseka sana pole kakaArgentina afadhali wangetoka leo maanake jumapili watadhalilishwa.