MmhNaziona point 3 kwa simba leo
Sa Kipenzi Changu lile li-dislike lako la nini kule? 😅Records nzuri zinacheza namba ngapi?
Hata kama, ndio uombee mabaya?Sa Kipenzi Changu lile li-dislike lako la nini kule? 😅
😅😅 hebu hukoo.Hata kama, ndio uombee mabaya?
Klabu ya Simba itacheza leo mchezo wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Esperance ya Tunisia, ikiwa ni mechi yake ya tatu katika kundi hilo. Simba iko mkiani mwa msimamo wa kundi ikiwa haina pointi, baada ya kupoteza mechi zake mbili za awali. Je, Simba itaweza leo kufufua matumaini yake ya kusonga mbele katika michuano hiyo?
Ngoja niizingatie hii comment yako leo. Maana jana uliupiga mwingi sana.FT : Esperance De tunis 0️⃣ - 0️⃣ Simba SC
Unyama ni mwingi mkuu... 😋😋Ngoja niizingatie hii comment yako leo. Maana jana uliupiga mwingi sana.
Punguza makasirikoHoo game kama una 1M una mpa Experance anshinde na goli tatu zipatikane maana Simba anaenda kupigwa sii chini ya goli 4. Timu lina cheza kipumbavu sana hili. Hakuna morali hata kidogo sijui tume rogqa na nani. 🤔
Kwa timu hii tutamlaumu Mungu bure😆 Tukubali tu maji yako shingoni tusubiri kuzama.Eeh Mungu tunaomba uisaidie timu yetu leo ifanye vizur tufungwe walau goli tatu hamna hamna
Hii timu ina ukanjanja mwingi 🚮kikosi cha 🦁
View attachment 3533927