Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Miaka ya 2005's nikiwa maeneo ya Ubungo maji, tulikuwa na timu ya Super boys,uwanja wetu ukiwa chuo cha maji pale,saizi wamejenga ghorofa pale,tulikuwa tukicheza Kinesi cup na ligi za mtaani,kuna wakati tulikuwa tukiongeza nguvu kwa wachezaji ambao hatujawahi kuwaona ila tunasimuliwa tu,kuna siku mnafaulu kuna siku tunapata mtu hata pass hawezi maarufu kama Ndondo
Simba leo wanaingia uwanjani mfano wa timu ya mitaani yenye wachezaji wa mfano wa NDONDO,leo wanaweza wakawashangaza wengi kama wachezaji wao wapya wana uwezo binafsi au leo ikawa kichwkesho.
Simba guvu moya