KaburiniTaifa linaenda kuingia haibu hii leo
Sasa wameweka kwenye orodha ya mechi wanazoonyesha..Nikae mkao wa kushangilia mabao ya mnyama akimnyoosha huyu kibonde.Wadogo zangu hawa Fawanews vipi?
Waarabu wamewapiga pini wasionyeshe mbungi auš¤!.
š¤£š¤£kwanini mkuu?Hii timu ina ukanjanja mwingi š®
Hakuna kitu humo , furaha ni bacelona ya buza kubanduliwa tu.š¤£š¤£kwanini mkuu?
Afadhali sisi Simba hatukuchangia haya mauaji kama wenzetu. Wa 100M na 10BNi furaha yangu kuona timu ambazo hazithamini damu za mashabiki wao waliouawa kwenye mauaji ya kimbari ya mwishoni mwa mwezi Oktoba zikifingwa.
Hamna timu ilituma salamu za rambirambi kwa mashabiki waliokufa kwenye mauaji yale.
Hivyo basi, sisi mashabiki tuliopoteza mashabiki wenzetu wa hizi timu zinazomilikiwa na chama kikongwe kilichoratibu mauaji Yale, tunasema bayana, ni Bora tushabikie timu za wageni kuliko kushabikia matimu haya ya CCM.
Tunaomba ushindi ama suluhu.Game ON...
Tunao hawa!!Ushindi itapendeza zaidi
Kundi mchekea sana hili.All the best esperance