Tumegomaaaa. Nanyie sambambaa mpaka tisiniiii🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒Acheni basi hizo nyie
Hakuna hii game Simba SC anashindaSimba atakufa nyingi asipokaa makini. Kapombe leo anatetemeka sijui nini shida.
Nje ya mada: Hivi ni kwamba viongozi, makocha na wachezaji hawaoni tatizo la build up ya Simba, ni lazima wacheze viji back pass na kubutua mbele!? Mbona kila siku hii mbinu haifanyi kazi vizuri!
Wagawa utamu😋Simba siku hizi ni kama kipochi manyoya wanaume wanajisevia tu🥺
Hahahaa. Are you serious au ndo unanitania Mtani?tunarudisha Hilo na tunawaongeza
Mtaaibika sana.Tumegomaaaa. Nanyie sambambaa mpaka tisiniiii🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒
Esperence hawana timuHahahaa. Are you serious au ndo unanitania Mtani?
Mie nipo hapa.
Kabeeesaaa rafiki. 🤣
Tumekaa paleeee 👉👉👉👉!
Tanzania haina kibali cha MUNGU kwasasa .Hakuna maombi ya mtu Mwenye dhambi ambayo Mungu atayasikilizaKlabu ya Simba itacheza leo mchezo wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Esperance ya Tunisia, ikiwa ni mechi yake ya tatu katika kundi hilo. Simba iko mkiani mwa msimamo wa kundi ikiwa haina pointi, baada ya kupoteza mechi zake mbili za awali. Je, Simba itaweza leo kufufua matumaini yake ya kusonga mbele katika michuano hiyo?