Weee min mbona leo umeishiwa maneno???!!???😁😁😁Ukitoka kwenye reli , utakua una ufujaji wa furaha labda
Hahahaaa. Kabisa yaani best.Kabisaa Best kipigo kitembee warudi tuchekane vizuri
Maneno yanini sasa wakati furaha bado inaendeleaWeee min mbona leo umeishiwa maneno???!!???😁😁😁
🤣🤣 mara kibao kimegeuka. Teh.
Pole mwaya. 😅Aisee,sijaenda😀
Pole mwaya. 😅
Siku zote kuimba kupokezana ujue. 😂Zamu yenu Leo kufrahia😁
Kipindi Cha pili tutarudisha😀Siku zote kuimba kupokezana ujue. 😂