FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

Mpanzu tunampenda ila naona anaicost timu kuliko anavyoisaidia. Analazimisha mno kupita na mara nyingi anashindwa.
 
Mwenzio ana point 4 wewe una 0 na unacheka rage alikuwa sahihi kuhusu nyinyi wanetu 😁😁😀😀😀😀
Anajua ana point sifuri na pengine alishajiandaa kisaikolojia kuwa Simba inaweza isifanye vizuri, kilichobaki ni kufurahia Yanga nae akipigwa akapigika.
 
Back
Top Bottom