Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Doooh!!Shida mpanzu,mpanzu anapoteza daah😪
Doooh!!Shida mpanzu,mpanzu anapoteza daah😪
Hahahahah,Hahahàa. Lol
Nyie agen mashindano tu hapo jaiwezekan kila mtu kundini mmempa utamwe jana ulitoa ni nini?
90 +4. Lol.ah,
eli anazingua
Mpanzu kwa namna alivyopoteza mpira hata kocha wetu sijui kwanini kamuacha mpaka mwisho.Chama yupo vizuri kuliko Mpanzu
Hiv ulitegemea litimu linaongozwa kiupigaji na kizee zee likupe furaha zaidi ya ile ya jana?wamejitahidi sana.