Umeona eeh,sisi saikolojia ipo on🤣,Sasa wao ndio wanaumia🙌Yaani Sisi hata tukifungwa na kutoka mashindanoni wala haiumizi, tulishajipanga kisaikolojia huu msimu sio mzuri kwetu.
Shida ni Barcelona ya KIKUU wakipigika km vile jana, mie full burudaniiiiiiiiii.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Na ikifika mbele inapotea.Camara hachezeashi..timu...back pass nyingi
Aisee ya nini sasa? 😅Aisee
Tumekubali tuchambeni. 🤣🤣Umeona eeh,sisi saikolojia ipo on🤣,Sasa wao ndio wanaumia🙌
Bado haujaisha😀,,tulieni,mtafrahi zaidi🏃🏃
Shida mpanzu,mpanzu anapoteza daah😪Aisee ya nini sasa? 😅
Wanasema wamejiandaa kisaikolojia eti. 😅😅😅Exactly 💯 😂 😂 😁
Mudy na Mohamed.Pwagu na pwaguzi
Hawa rage anawaweza sanaWanasema wamejiandaa kisaikolojia eti. 😅😅😅
Kwanini sasa?Mpanzu anapoteza mipira kizembe sana
Na Barcelona yenu ya kuchaji🤣🤣🤣🤣Tumekubali tuchambeni. 🤣🤣
Thubutuuuuu!!!🦁🐒🐒🐒
Koh koh koh.Bado haujaisha😀,,tulieni,mtafrahi zaidi🏃🏃
Ukisikia mtangazaji anasema Eli Mpanzu kinachofata ni mpira upo kwa adui.Mpanzu anapoteza mipira kizembe sana
Hahahàa. LolNa Barcelona yenu ya kuchaji🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Koh koh koh.