FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sisi tulishakubali toka mda kuwa huu msimu sio mzuri kwetu..
Wala hii hatushangaii, shida ni nyie na Barcelona yenu ya kuchovyaaa.
Hakuna asiekubali Simba mwaka huu inajitafuta sema ni ule utani tu wa jadi.
Lakini usikubali kwa kusema mmeshafanya back to back.
Tuseme mlishakubali nyie mwisho wenu ni Robo tu?
Mmeshindwa kuvunja huo utepe!

Yanga sisi bado machalii ndo tunajikongoja bana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tulishakubali toka mda kuwa huu msimu sio mzuri kwetu..
Wala hii hatushangaii, shida ni nyie na Barcelona yenu ya kuchovyaaa.
Barcelona ya kuchovya kwenye marathon wapo hapa, je una maoni gani? Hakuna timu isiyofungwa, lakini kila timu ndiyo ikuone wewe ndiye wa kujichukulia point bila hata aibu kwa timu nambari tano kwa ubora ni kuidharirisha huyu jayanti wa Afurika.
IMG_20260124_205812.jpg
 
Points sio shida mtani, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sisi tuko lele leleeeeeee, poleni nyie na Barcelona yenu ya Kuvundika.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahahaaa. Ila huyu jamaa yenu bana Mtani sasa aliongea nini hapo?
 
Barcelona ya kuchovya kwenye marathon wapo hapa, je una maoni gani? Hakuna timu isiyofungwa, lakini kila timu ndiyo ikuone wewe ndiye wa kujichukulia point bila hata aibu kwa timu nambari tano kwa ubora ni kuidharirisha huyu jayanti wa Afurika.View attachment 3533977
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtasema yoteee, ila jana mmekandwaaaaa!!
 
Hakuna asiekubali Simba mwaka huu inajitafuta sema ni ule utani tu wa jadi.
Lakini usikubali kwa kusema mmeshafanya back to back.
Tuseme mlishakubali nyie mwisho wenu ni Robo tu?
Mmeshindwa kuvunja huo utepe!

Yanga sisi bado machalii ndo tunajikongoja bana.
Ndo mnajikongoja kwa madoido sana, hamtuliii,
Tena hapo bado hamna uhakika wa kuvuka, coz match bado.
 
Yaani Sisi hata tukifungwa na kutoka mashindanoni wala haiumizi, tulishajipanga kisaikolojia huu msimu sio mzuri kwetu.

Shida ni Barcelona ya KIKUU wakipigika km vile jana, mie full burudaniiiiiiiiii.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha kujikosha timu hauna umejiandaa kisaikolojia wapi wakati unaumia sana mwenzio ana point 4 wewe unaendelea kuwa na 0 huku ukiumia roho
 
Back
Top Bottom