FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

Mnafuzu msiwe na wasi nyie ni watano Africa, mnawachezaji walio cheza FIFA club championships,mnaexperience na hii michuano msihofu mnashinda mechi zote zilizo bakia cha msingi msikae mbali na Kalkuletatatatatatataaaaaaaa...........
 
Furaha yangu ni Jana,hivyo hakuna Cha kunitoa kwenye reli kuhusu mechi ya jana[emoji16]
Nilikuahidi kukurudia baada ya full time.

Sasa sisi wana Yanga tuna furahi kwa hiki hapa, wewe endelea kujifariji
IMG_20260124_205812.jpg
 
Klabu ya Simba itacheza leo mchezo wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Esperance ya Tunisia, ikiwa ni mechi yake ya tatu katika kundi hilo. Simba iko mkiani mwa msimamo wa kundi ikiwa haina pointi, baada ya kupoteza mechi zake mbili za awali. Je, Simba itaweza leo kufufua matumaini yake ya kusonga mbele katika michuano hiyo?
Simba huu msimu hata pata point hata Moja CAFCL.
Wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani kama BISI.
Wacheza wote wa simba ni WA kiwango cha chini, hawajitumi, hawana mbinu na hawafundishiki.

Mo, kwa wachezaji hawa, tupa taulo mapemaaa kabla hawajakufilisi
 
Halafu kuna mtu atakwambia afadhalia sie tumefungwa moja. 🤣🤣🤣 lol.

Swali letu una points ngapi kwenye kundi lako?
Points sio shida mtani, 😂😂😂😂
Sisi tuko lele leleeeeeee, poleni nyie na Barcelona yenu ya Kuvundika.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom