FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

Simba atakufa nyingi asipokaa makini. Kapombe leo anatetemeka sijui nini shida.

Nje ya mada: Hivi ni kwamba viongozi, makocha na wachezaji hawaoni tatizo la build up ya Simba, ni lazima wacheze viji back pass na kubutua mbele!? Mbona kila siku hii mbinu haifanyi kazi vizuri!
Simba viungo viungo wengi katikati hawana urafiki na mali ikiwa mguuni...Ndio maana butua butua nyingi.
 
Back
Top Bottom