FT| Esperance 1-0 Simba SC l CAF champion League l Hammadi Agrebi Stadium l 24 Jan 2026 l 19:00HRS

Simba atakufa nyingi asipokaa makini. Kapombe leo anatetemeka sijui nini shida.

Nje ya mada: Hivi ni kwamba viongozi, makocha na wachezaji hawaoni tatizo la build up ya Simba, ni lazima wacheze viji back pass na kubutua mbele!? Mbona kila siku hii mbinu haifanyi kazi vizuri!
 
Hakuna hii game Simba SC anashinda
 
Tanzania haina kibali cha MUNGU kwasasa .Hakuna maombi ya mtu Mwenye dhambi ambayo Mungu atayasikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…