KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Kwanza kule hatugombani, huwa tunatofautiana mawazo mwamba...ahahahahahaaa...kuwa na amani mm ni mzoefu sana...Wewe jamaa kule kwenye jukwaa la siasa tunagombama sana. Halafu huku kwenye mpira tunafurahi na kucheka pamoja.
Hatimaye yanga tumeshinda....
"YANGA BINGWA"