Itakuwa ana udugu na kaka yake wa manyara anaitwa nani sjui, hata jina lake nimelisahauAmina Kyando
Kocha ametoa nafasi kwa wachezaji wengine mfano Sure Boy nao kucheza. Isitoshe timu ina mechi za Kimataifa siku chache zijazo.🤣🤣🤣 ball leo linasua sua
Na yule jiga akachezeshe wapiInatakiwa kubadilishwa mfumo. Ligi ya wanawake wachezeshe marefa wakike na hivyo hivyo ligi ya wanaume wachezeshe marefa wakiume basi
Na hii ndiyo sababu. Azam umewaonea tu.Acha kabisa.
Kishumbushi changu kilileta tabu
Wewe jamaa kule kwenye jukwaa la siasa tunagombama sana. Halafu huku kwenye mpira tunafurahi na kucheka pamoja.Isije ikawa upo sumbawanga...unajua huko hawanunui visimbuzi lakn wanatazama mechi zote za tanzania?
timu ya chama, kwa namna yeyote lazma ipendelewe.Fountain Gate VS Young Africans SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Stadium | 31/08/2026
View attachment 3660600
KIKOSI CHA FG KITAKACHOANZA.
View attachment 3660601
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA.
View attachment 3660602
Updates.
Saa Tisa na dakika 20 Kikosi cha Yanga kimeshawasili Uwanja ya Sheikn Amri Abeid - Arusha.
Wanaombea tutoe sare kama na sisi tunavyo waombea njaa kwenye yao ya baadaye 😀Fans wa uto mbona povu linawatoka sana 🤣