Wamekata matangazo wapi Mjomba! Mbona mimi huku niliko naangalia kwa ubora ule ule!Ball limeanza Azam wamekata matangazo
Usilalamike sanaKwanini marefa wanafanya makosa memgi ya kuipendelea Yanga katika kila mechi? TAKUKURU mko wapi? Kwa mfano mechi ya leo fault nyepesi za FG zinatolewa kadi ila Faulo nzito za Yanga hazina hata onyo la mdomo. Yaani refa anafurahia. Tunaupeleka wapi mpira wetu kwa upendeleo huu.
Inatakiwa kubadilishwa mfumo. Ligi ya wanawake wachezeshe marefa wakike na hivyo hivyo ligi ya wanaume wachezeshe marefa wakiume basiKwanini marefa wanafanya makosa memgi ya kuipendelea Yanga katika kila mechi? TAKUKURU mko wapi? Kwa mfano mechi ya leo fault nyepesi za FG zinatolewa kadi ila Faulo nzito za Yanga hazina hata onyo la mdomo. Yaani refa anafurahia. Tunaupeleka wapi mpira wetu kwa upendeleo huu.
Uyu demu jau sana kiufupi anaboa kinomaUsilalamike sana
Nenda kasomee urefa ili uje uchezeshe wewe, badala ya kuishia kulalamika tu.Kwanini marefa wanafanya makosa memgi ya kuipendelea Yanga katika kila mechi? TAKUKURU mko wapi? Kwa mfano mechi ya leo fault nyepesi za FG zinatolewa kadi ila Faulo nzito za Yanga hazina hata onyo la mdomo. Yaani refa anafurahia. Tunaupeleka wapi mpira wetu kwa upendeleo huu.
Fans wa uto mbona povu linawatoka sana 🤣Nenda kasomee urefa ili uje uchezeshe wewe, badala ya kuishia kulalamika tu.
Isije ikawa upo sumbawanga...unajua huko hawanunui visimbuzi lakn wanatazama mechi zote za tanzania?Wamekata matangazo wapi Mjomba! Mbona mimi huku niliko naangalia kwa ubora ule ule!
Ujanja ujanja huu huwa inaishia club bingwa hatua ya makundiKwanini marefa wanafanya makosa memgi ya kuipendelea Yanga katika kila mechi? TAKUKURU mko wapi? Kwa mfano mechi ya leo fault nyepesi za FG zinatolewa kadi ila Faulo nzito za Yanga hazina hata onyo la mdomo. Yaani refa anafurahia. Tunaupeleka wapi mpira wetu kwa upendeleo huu.