FT: Fountain Gate 0-2 Young Africans SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Stadium | 31/08/2026

Wewe jamaa kule kwenye jukwaa la siasa tunagombama sana. Halafu huku kwenye mpira tunafurahi na kucheka pamoja.
Kwanza kule hatugombani, huwa tunatofautiana mawazo mwamba...ahahahahahaaa...kuwa na amani mm ni mzoefu sana...

Hatimaye yanga tumeshinda....
"YANGA BINGWA"
 
Kwanza kule hatugombani, huwa tunatofautiana mawazo mwamba...ahahahahahaaa...kuwa na amani mm ni mzoefu sana...

Hatimaye yanga tumeshinda....
"YANGA BINGWA"
Kwa tabu sana.
Kazi mnayi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…