Mechi ilikuwa ngumu sana hiiFT 0-1
Nguvu Moja
Daah! Muhimu point 3FT 0-1
Nguvu Moja
Mtupie jini mwezi upotee.Kipofu kaona mwezi.
Umetumika ukubwa tu. It was so tough gameMechi ilikuwa ngumu sana hii
Mwamuzi kajitahidi kuchezesha
Angalia usije kutupiwa kajini kadogoMtupie jini mwezi upotee.
Mechi 4 zilizopita Utopolo mmeshinda ngapi?Na kwa margin ya goli ngapi?Pamoja na kubebwa mechi mbili ,moja na Kagera mlifungwa kama sio kubebwa. Na ya jana na Prisons mlibebwa kwa Prisons kunyimwa penalti ya wazi.Asante mtani lilikuwa ni suala la muda tu, ila hatutakiwi kushangilia sana bado tuna safari ndefu, ikiwa tunastruggle hivi kupata kagoli kamoja tu
Vyura wana silaha za maangamizi hatari.Angalia usije kutupiwa kajini kadogo
Mtani na mpaka mkifika kwenye hiyo safari yenu ndefu π basi huku sisi tumeshatangaza ubingwa.Asante mtani lilikuwa ni suala la muda tu, ila hatutakiwi kushangilia sana bado tuna safari ndefu, ikiwa tunastruggle hivi kupata kagoli kamoja tu
Kwan inauma ukhty?????Kipofu kaona mwezi.
PoleeHaha mtani Hali mbaya kama mpaka Geita wanatutoa Jasho hivi [emoji2][emoji2]
Soma comments kwa umakini mkuuMechi 4 zilizopita Utopolo mmeshinda ngapi?Na kwa margin ya goli ngapi?Pamoja na kubebwa mechi mbili ,moja na Kagera mlifungwa kama sio kubebwa. Na ya jana na Prisons mlibebwa kwa Prisons kunyimwa penalti ya wazi.
Almanusra samaki wa kukaanga atung'ateUmetumika ukubwa tu. It was so tough game
Hii comment niya mtu anae lia hadi kamasi ..polee sana mkuuMechi 4 zilizopita Utopolo mmeshinda ngapi?Na kwa margin ya goli ngapi?Pamoja na kubebwa mechi mbili ,moja na Kagera mlifungwa kama sio kubebwa. Na ya jana na Prisons mlibebwa kwa Prisons kunyimwa penalti ya wazi.
Hahaha hivyo hivyo tutafika tu mtani, hapo kwenye ubingwa napo tusiseme sana, Ligi bado [emoji3][emoji3]Mtani na mpaka mkifika kwenye hiyo safari yenu ndefu [emoji12] basi huku sisi tumeshatangaza ubingwa.
ππππWale mnafiatilia stori ya majini. Muda ni saa ngapi?