FT: Geita Gold FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Kirumba Stadium | 12.02.2024

Yani ule uwanja siku ile ulikua ni devil wwa dhidi ya mnyama
Namnukuu Manara.."usiamini derby unaweza dhani wanacheza watu kumbe ni majini yanacheza" mwisho wa kunukuu...
Sasa kwa nini mlimuondoa Robertinho wakati sababu mliijua?
 
Dah afadhali aisee mana hizi mechi hua tunacheza na timu husika, marefa, gongowazi, na mwishowe MAJINI...
Simba imepigwa 'majini' miaka mitatu ndio maana mzungu WA Dula anamsihi mkongo afute Kauli. Uzuri ulozi ukishajulikana ndio mwisho wake.😁
 
Hadi Papaa Omary wa Njombe nae kashatupiwa kajini mnyauko Yanga hawa hatari sana..
 
Baada ya jini kutoka chumaaaa kambani kudadek tumefulusha majini ovyo ovyo aya elewi goli limeingia vpi dawa inazdi kuchemka.
 
Ila wajeda bwana, naamini wangeweza kuweka hata mabenchi ya muda wakaamua kukausha. Halafu wakaweka kiingilio buku 10 πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Au ni kulipiza kisasi kwa Simba kuishusha daraja Ruvu Shooting msimu uliopita?

Halafu siyo tu hamna sehemu ya kukaa, ule uzio ulivyo mrefu unatazama mpira kwa kupitia matundu ya senyenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…