FT: Geita Gold FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Kirumba Stadium | 12.02.2024

Sijui kwanini imeamuliwa kuwa huu uwanja ndo utumike. Kila la heri Simba.
 
Ushawaona, unataka kuwatupia jini?
Kiukweli kuangalia simba ya miaka ya hivi karibuni ikicheza huwa ni mateso kweli, hakuna ladha ya football, ni kusubilia goli lifungwe ki ndondokela basi kisha mrudi nyumban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…