OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Duuh huu msako si mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndio utukane?Acha usela mavi dogo.Qqmkk bado nipo job. Nitaanza 2nd half
Refa nani?Simba wamekosa tu wafungaji
Duh timu mbovu lawama anapewa refaYaani marefarii wanaona faulo za Simba pekee
MwanamamaRefa nani?
We hukuelewa nini maana ya yale maandamano dhidi ya Kayoko? Ni kuwatengenezea marefa pressure ili wawafavour wao. Hiko ndicho kitakachofanyika sasa.Yaani marefarii wanaona faulo za Simba pekee
Geita wamechezewa sana faulo, ila marefarii wanajifanya hawaoni
jini lishatupwa.Yaani marefarii wanaona faulo za Simba pekee, wachezaji wa Geita wakichezewa faulo wanajifanya hawazioni
Yaani faulo za wazi kabisa Geita wanachezewa ila marefarii wanapeta.We hukuelewa nini maana ya yale maandamano dhidi ya Kayoko? Ni kuwatengenezea marefa pressure ili wawafavour wao. Hiko ndicho kitakachofanyika sasa.
Majini hayawezi kukaa pahala yameshagundulika.Kwa mpira huu ni halali mpigwe 5g na majini fc