Wanachojua wana-Uto ni kuvamua tu threads za Mnyama anapocheza na kuikosoa wakijifanya ni mashabiki wa Mnyama. Tumesha wang'amua kitambo sana. Hovyo!!!Uzi umepoa sana kama vile hakuna kinachoendelea.
Kwani kuna.nini huko?
Timu zote zikicheza na Yanga ya Gamondi zinapaki bus, zikiongozwa na Simba. Ihefu watoe hapo[emoji23][emoji23]
Uzi umepoa sana kama vile hakuna kinachoendelea.
Kwani kuna.nini huko?
imekuajeYanga wanakera aisee
ile n clear offside hatupingiIkitokea Yanga wamedondosha points leo, watalaumu Waamuzi wamewanyima Goli La Mzize
Mpira hautuliiimekuaje