AlwaysAzizi Ki anapambana asee
Cheki game ya KFC na Ihefu ipo online.Kumepoa sana game kama Namunga na kagera
Kuna mchezaji anaitwa Taliq Seif, mwenye Rasta, jamaa amepwaya sana, nadhan amegusa mpira mara 3 tangu mpira uanze.Huu mchezo wanaocheza Geita wameuiga kwa Simba, Hopeless kabisaa[emoji706]
Wamekutana wote wabovu!! Mpira hauna mashamshamu!! Hapa mbovu yeyote anaweza kuibuka mshindi!!Linarudi