Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ni kipindi cha kwanza, Gor Mahia yupo nyumbani mpaka sasa ameshalowa goli mbili, game ni tamu ipo mubashara Azam sports 2HD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari jamaa hawataki madharau....walipewa bus kimeo sasa hasira wanazimalizia uwanjaniNaangalia binafsi nilitaka kuona ujasiri wa wakenya kama ungelipa maana ni 100%local players
Ila naona ni kama game itaishia hapo hapo kenya
Hawa fitna za kusini mwa jangwa la Sahara wameshazoea ni Dar TU ndio ngumu kwaoHatari jamaa hawataki madharau....walipewa bus kimeo sasa hasira wanazimalizia uwanjani
Kabisa jamaa ni package ya team kubwa kwanza benchi TU ukiangalia unaona professionalism😀😀🙌🏻ikubalike kwamba ahly ndo miamba africa
kwenye maandamano wametuacha mbali sanaWakenya hawajui football
Rabia 14’waliofunga ni akina nani kwa upande wa AL AHLY?
Na roho mbayakwenye maandamano wametuacha mbali sana
Haahaha licha ya kucheza kwenye jua kali la saa 9🤣Wakenya hawajui football
Waongee nao kiingereza nahisi wataelewanaKama wameshinda kucheza, waingize Kingereza kicheze
Mkuu kwani hili kuna mtu analipinga? Lakini hawa Gor Mahia hata ukiwapa Tz Prisons wanawatoa jasho. Kenya mpira hakuna sio kama huku bongo😀😀🙌🏻ikubalike kwamba ahly ndo miamba africa