princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Kikubwa ushindi, ila mazingira ya goli yana utata.
Kifupi Uganda, Tanzania, Kenya and Rwanda tunatisha sanaYamoussoukro, CΓ΄te d'Ivore
Dakika 95'
GUINΓE 1 - 2 TANZANIE
Yakifika matatu uhakika. Halafu saa kama imesimama.Kidogo la tatu liingie
Tanesco wamekata umeme kumanina z
Ahahahah shabiki wa guinea huyounatakaje mkuu..?
HahahahahahahUto...huwaambii kitu kwa huyo kijana..