Hajacheza mechi nyingi huyo hawezi kuingizwa mapema hivi, hii team iliyoanza haina ubaya wowote kinachotakiwa ni kuepuka kona na faulo za kijinga huko nyuma.Muingizeni moses phiri. La sivyo mtabatizwa kwa moto
Hilo sio namba 2 ni nambari waniDunduka namba 2 linapigwa kesho
Onyango katuweka mchezoniAisee Sakho alifanya makosa hapo nusu watuadhibu
Tumshukuru Onyango kwa slide tracking yake
Relax uto, game hii tunaitoboaDk 30.......makolo hawelewi wanafanya nini