FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Muingizeni moses phiri. La sivyo mtabatizwa kwa moto
Hajacheza mechi nyingi huyo hawezi kuingizwa mapema hivi, hii team iliyoanza haina ubaya wowote kinachotakiwa ni kuepuka kona na faulo za kijinga huko nyuma.

Siwaona Horoya wakiwa na uwezo wa kutufunga goli la mikimbio zaidi ya mipira iliyokufa.
 
Onyango anacheza madhambiiiiiii duuuuh lefa anawabeba makolo......siyo penati
 
Back
Top Bottom