FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Bocco katuangusha sana hii game.
Wakati Yanga inasajiri nyinyi mkaona ni akili kwenda Dubai, uchaguzi umekuja kuwaondowa wababaishaji mkaletewa Manzoki wakati dirisha limeshafungwa ili mpigie naye Picha, hivi MNA akili kichwani kweli?

Sasa subilini Feitoto atakuja kuwasaidia Lupaso na Raja Casablanca.
 
😂😂
12EA7049-9389-443F-935A-62651A07A72A.jpeg
 
Sio mbaya, tujipange kwa mechi zijazo naamini mwalimu atayafanyia kazi makosa ya mchezo wa leo.

Nguvu Moja
Hakuna makosa ya kimbinu kwenye mchezo wa leo, makosa yalikuwa ni yale ya ujinga wa mchezaji mmojammoja (Bocco na Onyango).

Sasa kama huo uchezaji wa Bocco wa kushindwa kusukumia mipira wavuni, kocha atafanya nini?

Labda kama kuna uwezekano wa kurudisha nyuma umri wao.
 
Back
Top Bottom