Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Yanga hii weka hata mke wako rehaniKuna timu iandae kapu la magoli kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga hii weka hata mke wako rehaniKuna timu iandae kapu la magoli kesho
Matacheza sijui na makoti maana hata mazoezi mnayofanya saizi mnafanya mkiwa na makotiKaribuni kesho Mikia,Tunisia
Uzi wao wataukimbiaKuna timu iandae kapu la magoli kesho
na yule kuingia ni ushauri kutoka kwa gadiora mnene.Bocco ni mtu wa kumuingiza dakika ya 80 wakati mmeshapata ushindi. Huo ndiyo ukweli. Hawezi hata kucontrol mpira, nguvu hana tena.
Mkuu Boko bado mdogo kiumri,tumpe muda mkuuMechi imeisha mpira tumeuona, wachezaji wamejituma kwa kiasi chao japo Bocco ameliwisha
Ila hawa vibweka wakija Lupaso tutapiga kama umbwa
So they have scored jiroSimba walichoizidi vipers ni tofauti ya magoli ya kufungwa ila wote wana point zero
Statistics za SSC nzuri sana.
Balaaa najiona hapo sipo nyuma 😆 😆 😆 😆
Kuna kocha mgeni akija hampangi Kibu na Boko? Hawa ni roho yetu pale Msimbazina yule kuingia ni ushauri kutoka kwa gadiora mnene.
Mikoti ya boda bodaMatacheza sijui na makoti maana hata mazoezi mnayofanya saizi mnafanya mkiwa na makoti
Usijari tutamtafuta mwenzie wakufanana naye kwenye mechi ya keshoMkuu Boko bado mdogo kiumri,tumpe muda mkuu
🤣🤣🤣🤣Balaaa najiona hapo sipo nyuma 😆 😆 😆 😆
Sawa camaraSisi Horoya, tunampiga Vipers nje ndani, then tunaenda kutafuta draw moja kwa Mkapa, kwisha habari!
Kipindi cha kwanza tumezingua sana kufuatisha mpira wao..Ulitaka aingie nani? Haikuwa siku nzuri tu ila kila kitu kilikuwa perfect.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mtani kesho nitakula na ww sahani moja ya palau🤣🤣🤣🤣
Walimuingiza eti kwa sababu ya urefu wakati hata nguvu za kuruka hana. Afadhali hata Kyombo labda angekuwa na msaada zaidi.na yule kuingia ni ushauri kutoka kwa gadiora mnene.
Na ndio shida yenu yaan simba ni kama mnamatatizo hivi