FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Kesho wale wa Tunizia wajiandae na makoti ya mvua maana watalouwaaaa watouwaaa watanyeshewa haswaaa
 
Jifunze kuwa shabiki halisi wa mpira na si shabiki mihemuko. Unaona kabisa Boko alivyoleta uhai mbele na kuwafanya mabeki wa horoya wabaki nyuma. Timu imecheza vzr hasa kipindi cha pili. Tusilaumu sana wachezaji tunapofungwa.
Umeongea vizuri sana mdau...
 
Hongera Simba kwa game nzuri.
Asante Horoya kwa kunipa million Moja ya Mhindi.

Ushauri.

Kama unaipenda timu Yako basi beti ifungwe Ili ikifunga ushangilie, na ikifungwa upige pesa. No stress. Simba sio Mam yangu.
 
Jifunze kuwa shabiki halisi wa mpira na si shabiki mihemuko. Unaona kabisa Boko alivyoleta uhai mbele na kuwafanya mabeki wa horoya wabaki nyuma. Timu imecheza vzr hasa kipindi cha pili. Tusilaumu sana wachezaji tunapofungwa.
Uhai kaleta ila kakosa ngapi?
 
Binafsi simba imezingua sana kipindi cha kwanza hakukuwa na ulazima wa kucheza mpira wa taratibu vile na kila saa kurudisha mpira kwa kipa wakati sio mpira wao ule.

Simba lazima wajue na wanajua hii hatua ya makundi muhimu ni point hivyo ukiwa kwenye uwanja wowote wanyumbani au ugenini cheza mpira unaokuhakikishia ushindi mapema.

mpira wa kurudi rudi nyuma kipindi cha kwanza ulituponza.
Anyway aluta kontinua.
 
Back
Top Bottom