FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Ukweli usemwe Simba imecheza vzr sanaaaaaaaa...makosa madogo madogo ambayo yametokea kutunyima magoli...na huu ndo mpira wenyewe...ikitokea chance wengine wanawin..
 
Ndugu mteja pole kwa changamoto unayopitia tafadhali tunaomba kujua tatizo lako tukuhudumie ^EB
tatizo ni kwamba makolo wamefungwa kama vipi muwaazime mafundi wakata umeme wenu maana wanawezea sana ili wakasaidie katika nafasi ya kulinda goli
 
Wakati Yanga inasajiri nyinyi mkaona ni akili kwenda Dubai, uchaguzi umekuja kuwaondowa wababaishaji mkaletewa Manzoki wakati dirisha limeshafungwa ili mpigie naye Picha, hivi MNA akili kichwani kweli?

Sasa subilini Feitoto atakuja kuwasaidia Lupaso na Raja Casablanca.
Hizi kauli za kusajili uliziongea sana enzi zile bado mnashiriki CAF na ukadai michuano ikianza tutaziona pumba na mchele, mpaka sasa huko CAF mmetoka nyinyi.

Hiyo PhD umenunua dollar ngapi?
 
Hizi kauli za kusajili uliziongea sana enzi zile bado mnashiriki CAF na ukadai michuano ikianza tutaziona pumba na mchele, mpaka sasa huko CAF mmetoka nyinyi.

Hiyo PhD umenunua dollar ngapi?
Ma upuuzi hakuna cha usajili wala nini ni vyenga tuu humo kwao...hakuna hata tishio...bora feisali
 
Hizi kauli za kusajili uliziongea sana enzi zile bado mnashiriki CAF na ukadai michuano ikianza tutaziona pumba na mchele, mpaka sasa huko CAF mmetoka nyinyi.

Hiyo PhD umenunua dollar ngapi?
Yanga imetoka CAF lini? Nielimishe mkuu, naomba uwe na adabu na hii PhD.
 
Back
Top Bottom