FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

4F44F61F-9BAC-4999-88FA-FDACCC60263B.jpeg
 
Mo atueleze sisi makolo zile Bil 20 ameziweka wapi mpaka tumeshindwa kufanya usajili wa maana
 
Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Mikia/Ngada mlishazoea kupigwa 1 la nguruwe lenye Watoto 12 wala hamjistukii [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
NYokanyoka/vyura/kinyefc/kandambili/gongowazi/n.k n.k
Kesho mtakula hamsa...wanaume wanawapigaga Uto kuanzia bao 4 nakuendelea moja ni udhaifu.. 😎 😆😆😆
Unakumbuka Raja 6 Yanga sufuri
 
NYokanyoka/vyura/kinyefc/kandambili/gongowazi/n.k n.k
Kesho mtakula hamsa...wanaume wanawapigaga Uto kuanzia bao 4 nakuendelea moja ni udhaifu.. 😎 [emoji38][emoji38][emoji38]
Unakumbuka Raja 6 Yanga sufuri
Sawa
20230211_214652.jpg
 
Back
Top Bottom