FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Mbona Tv imefungwa juu sana, hapo shingo zina usalama kweli?
 
Walimuingiza eti kwa sababu ya urefu wakati hata nguvu za kuruka hana. Afadhali hata Kyombo labda angekuwa na msaada zaidi.
Kyombo ni specialist wetu wa friend games tu, mechi za ushindani utamtafuta Ubaya tu bure, haziwezi.
 
Makolokolo hakuna timu, mmebakiwa kujiliwaza tu na upuuzi wenu wa "Kwa mkapa hatoki Mtu" sasa wale wanaotokaga pale huwa ni kenge?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Uto wenzako wanaojua kusoma alama za nyakati wametulia

Hawayajui ya kesho na hawana hakika kama furaha ya leo inaweza ikadumu masaa 24

Wenzako wameku-overstep kwenye hili
 
Back
Top Bottom