FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Simba hakucheza vizuri, sema ile Horoya ni timu mbovu, hata sijui imeingiaje hatua ya makundi!
Laiti Simba angecheza vizuri angejipigia hata bao tatu.
Hata Yanga dhidi ya Al Hilal kule Susan tulicheza vizuri kuzidi hata simba Jana.Hadi baada ya mechi wasudan waliylyipihia makofi,lakini mwisho wa siku tulitoka tupo Huku tuliko,Makundi yanahitaji kucheza kwa akili.Inawezekana Kufungwa Jana ndio kukaamua simba isipite huko baadae
 
Haya mashindano yanahitaji mahesabu Sana....
 
Jaman...
20230212_115436.jpg
 
Mkuu Boko bado mdogo kiumri,tumpe muda mkuu
Nilikuambia mechi ikiisha nitakuita tumtafute wakufanana naye

Usiseme Kisinda, leo tumewaona wengi. Kumtaja Kisinda peke yake ni kumuonea na kuwafichia aibu wengine
 
Nikiwa Mwananchi kindaki ndaki, nawaombea Simba mabaya.
Naomba apigwe 3 - 0 ili kelele zisiwepo hapa mjini.
Maana hizi mbumbumbu zikitoa hata sare tu, tutakua hatukai kwa raha, vivyo zipigwe tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JE, WAJUA? Kwa ushindi wa magoli 7-0 dhidi ya #Horoya, #Simba imekuwa timu ya pili kutoa kipigo kikubwa zaidi katika historia ya Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Vipigo vitano vikubwa zaidi katika hatua hiyo ni #TPMazembe 8-0 #ClubAfricain (2019), Simba 7-0 Horoya (2023), #ASECMimosas 7-1 #CRBelouizdad (2001), #RajaCasablanca 6-0 #Yanga (1998) na #Enyimba 6-0 #BigBullets (2004)
 
UDSM wampe PhD ya heshima Robertinho kwa kuweza kuifanya underdog, simba, kumchapa Horoya goli 7 bila majibu
 
Back
Top Bottom